Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Witness of the Holy Spirit: To be implicitly received

2 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu To be implicitly received

  1. Huyu ndiye alikuja kwa maji na damu, yaani, Yesu Kristo. Hakuja kwa maji peke yake, bali kwa maji na damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.

  2. Kama tunaukubali ushuhuda wa wanadamu, basi ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi, kwa kuwa huu ndio ushuhuda wa Mungu kwamba amemshuhudia Mwanawe.