Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Witness of the Holy Spirit: On believing

2 mistari · 17 vipengele

Tafuta "Witness of the Holy Spirit"

Mistari kuhusu On believing

  1. Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupa sisi.

  2. Kila mtu amwaminiye Mwana wa Mungu anao huu ushuhuda moyoni mwake. Kila mtu asiyemwamini Mungu amemfanya yeye kuwa mwongo, kwa sababu hakuamini ushuhuda Mungu alioutoa kuhusu Mwanawe.