Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wave Offering: The breast of the priest's consecration ram

2 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu The breast of the priest's consecration ram

  1. Baada ya kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kuwekwa wakfu kwa Aroni, kiinue mbele za Bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako.

  2. Kisha akachukua kidari, kilicho fungu la Mose la kondoo dume kwa ajili ya kuwekwa wakfu, na kukiinua mbele za Bwana kama sadaka ya kuinuliwa, kama Bwana alivyomwagiza Mose.