Mistari ya Biblia kuhusu Watchmen: Neglecting to give warning punished with death
Mistari kuhusu Neglecting to give warning punished with death
Lakini kama mlinzi akiona upanga unakuja na asipige tarumbeta kuonya watu na upanga ukija na kutoa uhai wa mmoja wao, yule mtu ataondolewa kwa sababu ya dhambi yake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwa mlinzi huyo.’