Mistari ya Biblia kuhusu Virtue: Power 2 mistari · 2 vipengele Tafuta "Virtue" Yote 4 Excellence 2 Power 2 Mistari kuhusu Power Luka 6:19Watu wote walikuwa wanajitahidi kumgusa kwa sababu nguvu zilikuwa zikimtoka na kuwaponya wote.Luka 8:46Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, kwa maana nimetambua kuwa nguvu zimenitoka.”