Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Viper: A serpent

3 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu A serpent

  1. Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.

  2. Neno kuhusu wanyama wa Negebu: Katika nchi ya taabu na shida, ya simba za dume na jike, ya nyoka mwenye sumu kali na nyoka warukao, wajumbe huchukua utajiri wao juu ya migongo ya punda, hazina zao juu ya nundu za ngamia, kwa lile taifa lisilokuwa na faida,

  3. Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali na kutanda wavu wa buibui. Yeyote alaye mayai yao atakufa, na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo.