Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vinegar: Used with food

4 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Used with food

  1. Wakati wa chakula, Boazi akamwambia Ruthu, “Karibia hapa. Kula mkate na uchovye ndani ya siki.” Alipoketi pamoja na wavunaji, akampa nafaka zilizookwa. Akala kiasi alichotaka na kusaza.

  2. Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu.

  3. Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.

  4. Kama vile avuaye mavazi siku ya baridi, au kama siki iliyomwagwa juu ya magadi, ndivyo alivyo yeye amuimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito.