Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trespass Offering: To be slain where the sin offering and burnt offering were slain

2 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu To be slain where the sin offering and burnt offering were slain

  1. Atamchinja huyo kondoo katika mahali patakatifu ambapo sadaka ya dhambi na ile ya kuteketezwa huchinjiwa. Kama ilivyo sadaka ya dhambi, sadaka ya hatia ni ya kuhani; nayo ni takatifu sana.

  2. Kwenye baraza ya lile lango kulikuwepo meza mbili kila upande, ambako sadaka za kuteketezwa, sadaka za dhambi na sadaka za hatia zilichinjiwa.