Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trespass Offering: Esteemed as a sin offering, and frequently so called

2 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu Esteemed as a sin offering, and frequently so called

  1. na kama adhabu ya dhambi aliyoitenda, lazima alete kwa Bwana kondoo jike au mbuzi jike kutoka kwenye kundi lake kama sadaka ya dhambi; naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa dhambi yake.

  2. naye atanyunyiza sehemu ya hiyo damu ya sadaka ya dhambi kwenye pembe za madhabahu. Damu iliyobaki lazima ichuruzwe chini ya madhabahu. Hii ni sadaka ya dhambi.