Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Treatment of Wounds

3 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani.

  2. Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako hakuna uzima: ni majeraha matupu na makovu na vidonda vitokavyo damu, havikusafishwa au kufungwa wala kulainishwa kwa mafuta.

  3. Akaenda alipokuwa na akasafisha majeraha yake kwa divai na mafuta, kisha akayafunga. Ndipo akampandisha kwenye punda wake, akampeleka mpaka kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.