Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tithes: Customary in later times

3 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Customary in later times

  1. “Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnatoa zaka ya mnanaa, bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu zaidi ya sheria, yaani haki, huruma na uaminifu. Iliwapasa kufanya haya makuu ya sheria bila kupuuza hayo matoleo.

  2. “Lakini ole wenu, Mafarisayo, kwa maana mnampa Mungu zaka za mnanaa, mchicha na kila aina ya mboga, lakini mnapuuza haki na upendo wa Mungu. Iliwapasa kufanya haya ya pili bila kupuuza hayo ya kwanza.

  3. Mimi nafunga mara mbili kwa juma, na natoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’