Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tiphsah

2 mistari · 2 vipengele

Tafuta "Tiphsah"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kwa kuwa Solomoni alitawala falme zote magharibi ya mto, kuanzia Tifsa hadi Gaza, naye akawa na amani pande zote.

  2. Wakati ule, akianzia Tirsa, Menahemu alishambulia Tifsa na kila mtu ndani yake, na wale waliokuwa maeneo jirani, kwa sababu walikataa kufungua malango yao. Akaiangamiza Tifsa yote, na kuwapasua matumbo wanawake wote wenye mimba.