Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Timothy: Circumcised; becomes Paul's companion

2 mistari · 18 vipengele

Mistari kuhusu Circumcised; becomes Paul's companion

  1. Paulo alitaka Timotheo afuatane naye, hivyo akamchukua na kumtahiri kwa sababu ya Wayahudi waliokuwa wanaishi eneo lile kwa maana wote walimjua baba yake ni Myunani.

  2. Tukamtuma Timotheo ambaye ni ndugu yetu na mtumishi mwenzetu wa Mungu katika kuieneza Injili ya Kristo, aje kuwaimarisha na kuwatia moyo katika imani yenu,