Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Thorn: Crown of, mockingly put on Jesus' head

4 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Crown of, mockingly put on Jesus' head

  1. wakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”

  2. Wakamvalisha Yesu joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani.

  3. Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Yesu kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.

  4. Kwa hiyo Yesu akatoka nje akiwa amevaa ile taji ya miiba na lile vazi la zambarau. Pilato akawaambia, “Tazameni, huyu hapa huyo mtu!”