Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Theophilus

2 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,

  2. Katika kitabu changu cha kwanza nilikuandikia, mpendwa Theofilo, kuhusu mambo yote Yesu aliyofanya na kufundisha tangu mwanzo,