Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Gad: The rear of second division of Israel in their journeys

3 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu The rear of second division of Israel in their journeys

  1. Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.

  2. Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,

  3. naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi.