Mistari ya Biblia kuhusu The Red Heifer: The man who gathered the ashes
Mistari kuhusu The man who gathered the ashes
Mtu akusanyaye majivu ya huyo mtamba ni lazima pia afue nguo zake, kadhalika naye pia atakuwa najisi hadi jioni. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa Waisraeli na kwa wageni wanaoishi miongoni mwao.