Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Prophet Christ: Meek and unostentatious in his teaching

4 mistari · 13 vipengele

Mistari kuhusu Meek and unostentatious in his teaching

  1. Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema:

  2. “Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu, ninayependezwa naye. Nitaweka Roho wangu juu yake, naye atatangaza haki kwa mataifa.

  3. Hatagombana wala hatapiga kelele, wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani.

  4. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, na utambi unaofuka moshi hatauzima, mpaka atakapoifanya haki ishinde.