Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pomegranate Tree: Of saints

2 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Of saints

  1. Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi ili kutazama machipuko ya bondeni, kuona kama mizabibu imechipua au kama mikomamanga imechanua maua.

  2. Hebu na twende mapema katika mashamba ya mizabibu tuone kama mizabibu imechipua, kama maua yake yamefunguka, na kama mikomamanga imetoa maua: huko nitakupa penzi langu.