Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The First Born: In case of death the next brother to raise up seed to

5 mistari · 40 vipengele

Mistari kuhusu In case of death the next brother to raise up seed to

  1. “Mwalimu, Mose alisema, ‘Kama mtu akifa bila kuwa na watoto, ndugu yake inampasa amwoe huyo mjane ili ampatie watoto huyo nduguye aliyekufa.’

  2. Basi palikuwa na ndugu saba miongoni mwetu. Yule wa kwanza akaoa mke, naye akafa, na kwa kuwa hakuwa na watoto, akamwachia nduguye yule mjane.

  3. Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba.

  4. Hatimaye, yule mwanamke naye akafa.

  5. Sasa basi, siku ya ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba, kwa kuwa wote walikuwa wamemwoa huyo mwanamke?”