Mistari ya Biblia kuhusu The Example of Christ: Being guileless
Mistari kuhusu Being guileless
Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake.
“Yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake.”