Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Example of Christ

3 mistari · 19 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake.

  2. “Yeye hakutenda dhambi, wala hila haikuonekana kinywani mwake.”

  3. Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki.