Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Emblems of the Holy Spirit: Imperceptible

3 mistari · 29 vipengele

Tafuta "The Emblems of the Holy Spirit"

Mistari kuhusu Imperceptible

  1. Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani.

  2. Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.

  3. Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.