Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Compassion and Sympathy of Christ: Weary and heavy-laden

3 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Weary and heavy-laden

  1. “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

  2. Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.

  3. Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”