Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Call of God: Withdrawal of the means of grace

3 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Withdrawal of the means of grace

  1. Waambie, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Ikiwa hamtanisikiliza na kuifuata sheria yangu ambayo nimeiweka mbele yenu,

  2. nanyi ikiwa hamtayasikiliza maneno ya watumishi wangu manabii, ambao nimewatuma kwenu tena na tena (ijapokuwa hamkuwasikiliza),

  3. ndipo nitaifanya nyumba hii kama Shilo na mji huu kuwa kitu cha kulaaniwa na mataifa yote ya dunia.’ ”