Mistari ya Biblia kuhusu Tekoah: People of, work on the new wall of Jerusalem
Mistari kuhusu People of, work on the new wall of Jerusalem
Sehemu iliyofuatia ilikarabatiwa na watu kutoka Tekoa, lakini wakuu wao walikataa kufanya kazi chini ya wasimamizi wao.
Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli.