Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tarsus: Paul brought from, by Barnabas

2 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Paul brought from, by Barnabas

  1. Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli,

  2. naye alipompata akamleta Antiokia. Hivyo kwa mwaka mzima Barnaba na Sauli wakakutana na kanisa na kufundisha idadi kubwa ya watu. Ilikuwa ni katika kanisa la Antiokia kwa mara ya kwanza wanafunzi waliitwa Wakristo.