Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Stray

4 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. “Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.

  2. Kama ukimwona ngʼombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe.

  3. Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama umweke mpaka mwenyewe aje kumtafuta. Ndipo umrudishie.

  4. Fanya vivyo hivyo ukimkuta punda wa nduguyo au joho lake au chochote alichopoteza. Usipuuze jambo hilo.