Mistari ya Biblia kuhusu Social and Family Prayer: Punishment for neglecting
Mistari kuhusu Punishment for neglecting
Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa wasiokujua wewe, juu ya mataifa wasioliitia jina lako. Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo; wamemwangamiza kabisa na kuiharibu nchi yake.