Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Simon: 9. A tanner, Peter lodges with

4 mistari · 7 vipengele

Mistari kuhusu 9. A tanner, Peter lodges with

  1. Petro akakaa Yafa kwa siku nyingi akiishi na Simoni mtengenezaji ngozi.

  2. Yeye anaishi na Simoni mtengenezaji ngozi ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.”

  3. Wakati Petro akiwa bado anajiuliza kuhusu maana ya maono haya, wale watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakaipata nyumba ya Simoni mtengenezaji wa ngozi wakawa wamesimama mbele ya lango.

  4. Basi tuma watu waende Yafa wakaulize mtu mmoja Simoni aitwaye Petro, yeye ni mgeni katika nyumba ya Simoni mtengenezaji ngozi, ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.’