Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sieges: Frequently taken by ambush

2 mistari · 63 vipengele

Mistari kuhusu Frequently taken by ambush

  1. Hivyo akawachukua watu wake, akawagawanya katika vikosi vitatu na kuwaweka waviziao huko mashambani. Alipowaona watu wanatoka kwenda nje ya mji, akainuka dhidi yao na kuwashambulia.

  2. Abimeleki pamoja na vile vikosi wakaharakisha kwenda mbele kwenye nafasi, mahali pa ingilio la lango la mji. Vile vikosi viwili vikawawahi wale waliokuwa mashambani na kuwaua.