Mistari ya Biblia kuhusu Shemaiah: 18. Keeper of the East Gate of Jerusalem in the time of Nehemiah
Mistari kuhusu 18. Keeper of the East Gate of Jerusalem in the time of Nehemiah
Baada yao, Sadoki mwana wa Imeri alifanya ukarabati mkabala na nyumba yake. Baada yake, Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki, alifanya ukarabati.