Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Shalisha

1 mstari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Hivyo akapita katika nchi ya vilima ya Efraimu na katika eneo la Shalisha, lakini hawakuwapata. Wakaendelea katika sehemu ya Shaalimu, lakini punda hawakuwepo huko. Kisha wakapita katika nchi ya Benyamini, lakini hawakuwapata.