Shalishah
Anajulikana pia kama: Shalisha
31.8400, 35.1800 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Shalishah
Hivyo akapita katika nchi ya vilima ya Efraimu na katika eneo la Shalisha, lakini hawakuwapata. Wakaendelea katika sehemu ya Shaalimu, lakini punda hawakuwepo huko. Kisha wakapita katika nchi ya Benyamini, lakini hawakuwapata.