Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shalim: A district of unknown location.

1 mstari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A district of unknown location.

  1. Hivyo akapita katika nchi ya vilima ya Efraimu na katika eneo la Shalisha, lakini hawakuwapata. Wakaendelea katika sehemu ya Shaalimu, lakini punda hawakuwepo huko. Kisha wakapita katika nchi ya Benyamini, lakini hawakuwapata.