Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Examination: Advantages of

5 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Advantages of

  1. Lakini kama tungejichunguza wenyewe tusingehukumiwa.

  2. Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine.

  3. kila mara mioyo yetu inapotuhukumu. Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, naye anajua kila kitu.

  4. Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,

  5. lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.