Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Scribes: Regarded as interpreters of Scripture

3 mistari · 27 vipengele

Mistari kuhusu Regarded as interpreters of Scripture

  1. Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, akawauliza ni mahali gani ambapo Kristo angezaliwa.

  2. Wale wanafunzi wakamuuliza, “Kwa nini basi walimu wa sheria husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”

  3. Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristoni Mwana wa Daudi?