Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ruth: Becomes an ancestor of Jesus

3 mistari · 8 vipengele

Tafuta "Ruth"

Mistari kuhusu Becomes an ancestor of Jesus

  1. Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, Bwana akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.

  2. Salmoni akamzaa Boazi, Boazi akamzaa Obedi,

  3. Obedi akamzaa Yese, na Yese akamzaa Daudi.