Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rape: Captives afflicted with

3 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Captives afflicted with

  1. Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande mbele ya macho yao; nyumba zao zitatekwa na wake zao watatendwa jeuri.

  2. Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.

  3. Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini.