Mistari ya Biblia kuhusu Race: 1. Human, unity of
Mistari kuhusu 1. Human, unity of
Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.
Je, sote hatuna Baba mmoja? Hatukuumbwa na Mungu mmoja? Kwa nini basi tunalinajisi Agano la baba zetu kwa kukosa uaminifu kila mmoja kwa mwenzake?