Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Pity: Not to be shown offenders

6 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Not to be shown offenders

  1. Ni lazima mwangamize watu wote ambao Bwana Mungu wenu atawatia mikononi mwenu. Msiwatazame kwa kuwahurumia na msiitumikie miungu yao, kwa kuwa itakuwa mtego kwenu.

  2. usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.

  3. Msimwonee huruma. Lazima mwondoe katika Israeli hatia ya umwagaji damu isiyo na hatia ili kwamba mpate kufanikiwa.

  4. Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

  5. Ikiwa watu wawili wanapigana na mke wa mmoja wao akaja kumwokoa mumewe na yule anayemshambulia, naye mke huyo akifika na kumkamata sehemu za siri,

  6. huyo mwanamke utamkata mkono wake. Usimhurumie.