Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Pirathon: Men of

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Men of

  1. Baada yake, Abdoni mwana wa Hileli, Mpirathoni, akawa mwamuzi wa Israeli.

  2. Benaya Mpirathoni; Hidai kutoka mabonde ya Gaashi;

  3. Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini, Benaya Mpirathoni,

  4. Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.