Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Physician: Figurative

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Figurative

  1. Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote!

  2. Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? Je, hakuna tabibu huko? Kwa nini basi hakuna uponyaji wa majeraha ya watu wangu?

  3. Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.