Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Perseverance: Leads to assurance of hope

2 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Leads to assurance of hope

  1. Mungu si mdhalimu: yeye hataisahau kazi yenu na upendo ule mlioonyesha kwa ajili yake katika kuwahudumia watakatifu na hata sasa mnaendelea kuwahudumia.

  2. Nasi twataka kila mmoja wenu aonyeshe bidii iyo hiyo ili mpate kujua uhakika kamili wa lile tumaini mpaka mwisho,