Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Perseverance: Continuing in the faith

3 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Continuing in the faith

  1. wakiwaimarisha wanafunzi na kuwatia moyo waendelee kudumu katika imani. Wakawaonya wakisema, “Imetupasa kuingia katika Ufalme wa Mungu kwa kupitia katika taabu nyingi.”

  2. ikiwa mnaendelea katika imani yenu mkiwa imara na thabiti, pasipo kuliacha tumaini lililoahidiwa katika Injili. Hii ndiyo ile Injili mliyoisikia, ambayo imehubiriwa kwa kila kiumbe chini ya mbingu, na ambayo mimi Paulo nimekuwa mtumwa wake.

  3. Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.