Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Perga: The capital of Pamphylia. Paul preaches in.

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu The capital of Pamphylia. Paul preaches in.

  1. Kisha Paulo na wenzake wakasafiri toka Pafo wakafika Perga huko Pamfilia. Lakini, Yohana Marko akawaacha huko, akarejea Yerusalemu.

  2. Kutoka Perga wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi, wakaketi.

  3. Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia.