Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Partnership: With God

4 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu With God

  1. Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.

  2. Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu.

  3. Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.

  4. kwa maana Mungu ndiye atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu kwa kulitimiza kusudi lake jema.