Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Pain

7 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”

  2. Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe.

  3. Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.

  4. Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake,

  5. Amenizingira na kunizunguka kwa uchungu na taabu.

  6. Malaika wa tano akamimina bakuli lake kwenye kiti cha enzi cha yule mnyama, nao ufalme wake ukagubikwa na giza. Watu wakatafuna ndimi zao kwa ajili ya maumivu,

  7. Atafuta kila chozi kutoka macho yao. Mauti haitakuwepo tena, wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu, kwa maana mambo ya kwanza yamekwisha kupita.”