Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Overmuch Care

3 mistari · 14 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. “Lakini wote, kila mmoja, wakaanza kutoa udhuru: Wa kwanza akasema, ‘Nimenunua shamba, lazima niende kuliona. Tafadhali niwie radhi.’

  2. “Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ngʼombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’

  3. Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’