Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Onesiphorus

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu.

  2. Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.

  3. Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.